Thursday 22 January 2015

AFCON 2015: CONGO YASHINDA MECHI YA KWANZA TOKA 1974


Congo haijawahi kushinda mechi ya African Cup of Nations toka 1974 na jana ilifanikiwa kuichapa Gabon 1-0 na kuongoza kundi A...Gabon walicheza vizuri kipindi karibu chote cha mwanzo na badae wakanyamazishwa na Prince Oniangue dakika ya 48 baada ya kupachika bao lililosababishwa na mpira wa corner...Congo sasa wanahitaji draw tu wakicheza na Burkina Faso Jumapili...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment