Sunday 18 January 2015

ITF/CAT EAST AFRICA JUNIOR TOURNAMENT: MTANZANIA AIBUKA MSHINDI


Mandi Juma mtanzania kijana ameiweka Tanzania kwenye ramani ya dunia ya tennis baada ya kushinda michuano ya kimataifa ya Afrika Mashriki jijini Dar es Salaam...


Mandi alimchapa Sada Nahmana kutoka Burundi 6-4 7-5 7-5 katika viwanja vya Gymkhana Club.

Mechi ilikuwa kali sana na ilichukua takriban masaa mawili kutafuta mshindi wa medal ya dhahabu.

Mandi amefurahi sana kushinda na anataka kuendelea kufanya vizuri michuan ijayo.

Mandi sasa anasoma na Uingereza lakini bado ataendelea kupeperusha bendera yetu ya taifa.

Max Sports na wadau tunakupongeza sana kwa ushindi huu mkubwa...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment