Thursday 22 January 2015

LA LIGA: REAL MADRID YAPATA KIFAA HATARI


Real Madrid wameafikiana na timu ya Norway ya Strormsgodset kunyakua dogo mwenye umri wa miaka 16 Martin Odegaard...Dogo huyu hatari sana na ambae anatumia mguu wa kushoto alianza kuichezea timu yake ya taifa ya Norway akiwa na miaka 15 na timu nyingi Ulaya zilikuwa zinamtaka...Real Madrid wamesema leo ndio watamtoa kwenye vyombo vya habari...Bofya hapa pate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment