Sunday 11 January 2015

BELGIUM: JUNIOR MALANDA AFARIKI


Belgian midfielder U-21 Junior Malanda amefariki dunia...Malanda alikuwa abiria katika gari iliyopata ajaji kwenye Motorway karibu na mji ya Bielefeld huko Ujerumani...Malanda alikuwa anachezea timu kubwa ya Wolfsburg na kabla ya hapo alichezea Zulte Waregem...Alichezea timu yake hiyo ya Wolfsburg mara 15 msimu huu mpaka game ya Europa League dhidi ya Everton hivi karibuni...


Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment