Sunday 11 January 2015

MAPINDUZI CUP: MTIBWA NDANI YA FAINALI


Mtibwa Sugar imetinga fainali ya kombe la 9 la Mapinduzi baada ya kuitoa JKU kwa mikwaju ya penalty 4-3 katika uwanja wa Amaan huko Zanzibar...Baada ya JKU kukosa penalty 2 Vincent Barnabas ndio aliyezamisha penalty iliyowaingiza Mtibwa fainali...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment