Uzembe mkubwa wa kipa wa Arsenal Wojciech Szcesny umesababisha Arsenal kuchapwa magoli 2-0 na Southampton...Goli la kwanza kipa alitoka nje na kumwachia nafasi Sadio Mane kupachika goli pembeni...Mane anahitajika kucheza African Cup of Nations hivi karibuni...Goli la 2 kipa alipiga loose ball akiwachini na ukamkuta Dusan Tadic ambae hakufanya kosa...Sasa Arsenal iko nafasi ya 6 kwenye ligi...Bofya hapa upate habari zaidi.
Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the globe 🌎!
Friday, 2 January 2015
EPL: SZCZESNY ASABABISHA MAGOLI YOTE
Uzembe mkubwa wa kipa wa Arsenal Wojciech Szcesny umesababisha Arsenal kuchapwa magoli 2-0 na Southampton...Goli la kwanza kipa alitoka nje na kumwachia nafasi Sadio Mane kupachika goli pembeni...Mane anahitajika kucheza African Cup of Nations hivi karibuni...Goli la 2 kipa alipiga loose ball akiwachini na ukamkuta Dusan Tadic ambae hakufanya kosa...Sasa Arsenal iko nafasi ya 6 kwenye ligi...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment