Monday 26 January 2015

FA CUP: MABINGWA WATETEZI ARSENAL WASONGA MBELE


Arsenal FC jana iliweza kuifunga Brighton and Hove Albion FC mabao 3-2 kwenye game ya kuingia round ya 5 ya michuano ya FA Cup...Arsenal kama kawaida walicheza vizuri sana hasa kipindi chote cha 1 ndani ya uwanja wa Amex...Theo Walcott alipachika bao mapema sekunde 89 na Mesut Ozil aliwapeleka Arsenal mbele kwa bao la karibu dakika ya 24...



Tomas Rosicky alipachika bao safi dakika ya 59 baada ya Chris O'Grady kupunguza mabao dakika ya 50...Brighton walichachamaa kipindi cha 2 na kusumbua lango la Arsenal lakini Arsenal walitumia uzoefu na kuidhibiti Brighton...Bofya hapa upate habari zaidi.


No comments:

Post a Comment