Friday 2 January 2015

EPL: TOTTENHAM YAIBUGIZA CHELSEA MABAO 5


Chelsea wameshikwa shati na Tottenham ndani ya White Heart Lane baada ya kupewa kichapo cha mabao 5-3 jana usiku...Game ilikuwa kali na ya kasi sana na timu zote zilionyesha ufundi wa hali ya juu lakini mbio za Tottenham na uzembe wa mabeki ulisababisha hali kuwa tete...Chelsea ndio walioanza kuona lango la Tottenhm kwenye dakika ya 18 lakini baada ya muda mfupi Harry Kane alipachika bao kutoka yadi 20 akifuatiwa na Danny Rose dakika ya 44...


Gary Cahill alisababisha penalty alipomkwatua Kane ndani ya 18 na Towsend kupachika mpira wavuni...Kane sasa ana magoli 17 msimu huu...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment