Monday 5 January 2015

LA LIGA: MOYES AICHAPA BARCELONA


David Moyes kocha aliyefukuzwa Manchester United amefanikiwa akiwa timu yake mpya ya Real Sociedad kushinda mechi dhidi ya wakali Barcelona...Moyes alishukuru sana Jordi Alba kujifunga mapema dakika ya 2 na kuwa goli pekee lililowezesha ushindi huo...


Barcelona wangekuwa wanaongoza ligi lakini ushindi wa Real Madrid wa 2-1 dhidi ya Valencia umewasimamisha...Sociedad inafanya vizuri ukizingatia kati ya mechi 7 wamepoteza mechi 2 chini ya kocha wao mpya...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment