Sunday 25 January 2015

EPL: ARSENAL MBIONI KUMCHUKUA BEKI GABRIEL PAULISTA


Arsenal FC imekubaliana na Villarreal kimsingi kumchukua beki wa kati hatari Gabriel Paulista.

Paulista ambae anatokea Brazil atabadilishana na Joel Campbell ambae ataenda Villareal kwa mkopo.

Timu zote zimekubaliana dau la milioni 15 pounds dogo aje Emirates.

Arsenal kwa muda sasa hawana beki makini na Paulista ataziba pengo hilo kubwa.

Kinachosubiriwa sasa ni kibali cha kazi kabla ya kumaliza usajili...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment