Tuesday 6 January 2015

NBA: DIRK AINGIA 7 BORA KATIKA UFUNGAJI


Forward wa Dallas Mavericks Dirk Mowitzki amekuwa mfungali bora Mavericks na kuchukua number 7 katika list ya wafungani bora NBA...Dirk aliweza kuchukua nafasi hiyo kwenye game dhidi ya Brooklyn Nets ambayo Dallas walishinda 96-88 overtime...Dirk sasa mempita mkongwe Carl Malone na Shaquille O'Neal yuko number 6 na points 28,596...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment