Friday 23 January 2015

NBA 2015 ALL-STAR: LIST IMETOKA


Wakali wote wa NBA watakutana na kucheza katika jiji kubwa lenye watu kutoka dunia nzima New York kuanzia Mwezi wa 2 tarehe 13...All-Star game itchezewa eneo ninaloitwa Brooklyn kwenye uwanja wanaochezea Brooklyn Nets unaojuikana kama Barclays Center tarehe 15...Majina ya wachezaji ambayo yamechaguliwa na mashabiki yametoka na unaweza kuyapata kwa mara ya kwanza hapa hapa Max Sports...Stephen Curry point guard wa Golden State Warriors ndie aliyeshinda kwa kura nyingi kwenye list ya mashabiki wa mpira wa kikau akifuatiwa na LeBron James...Chungulia hapo chini utapata list nzima ya wachezaji...

No comments:

Post a Comment