Wednesday 28 January 2015

LEAGUE CUP: CHELSEA YAPONEA CHUPUCHUPU YAINGIA FAINALI


Chelsea FC amefanikiwa kuingia fainali ya league cup baada ya goli dakika za nyongeza kutoka kwa Branislav Ivanovic....Liverpool walikuja kucheza mpira na walijithidi sana kusukuma mpira pande zote na Chelsea wakionekana wanapata tabu kiaina lakini Liverpool wamechapwa fimbo kwa kupoteza chance nyingi na sasa Chelsea ndio gumzo la mjini...


Katika game 6 kati ya hizo timu 2 Chelsea wameshinda zote...Wakati goli linaingia Jose Mourinho alikuwa busy anabishana na mwamuzi wa 4 Phil Dowd na hakuliona goli lakini alishangilia sana kipenga cha mwisho kilipopigwa...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment