Thursday 29 January 2015

AFCON 2015: IVORY COAST YAICHAPA CAMEROON YASONGA MBELE


Goli pekee kutokakwa Max Gradel lilitosha kuwavusha Ivory Coast...Cameroon hawajafanya vizuri na wamekosa sana mabao na kumaliza chini kabisa ya Group D kwa mara ya kwanza...Kosa la beki wa Cameroon Jerome Guihoata ndilo lilisababisha Max Gradel akamate mpiya kama yadi 25 na kupachika bao upande wa kushoto...



Timu zote hazikucheza vizuri kipindi cha 1 na pia foul zilikuwa 61 ambazo ni rekodi kwa Afcon...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment