Wednesday 21 January 2015

AFCON 2015: GUINEA YAITOA JASHO IVORY COAST

Wachezaji wa Guinea wakishangilia bao...
Timu ambayo ilitakiwa kuwa mfano katika Afcon 2015 Ivory Coast imecheza ovyo sana na kukimbizwa na Guinea kajitimu ambako walitakiwa kuwa wenyeji wa mashindano haya...Guinea walijitahidi sana na kuwapelekea mpira Ivory Coast na ndio walioanza kupachika bao kupitia Mohamed Yattara dakika ya 36...Wachezaji wachache wa Ivory Coast walionyesha uwezo wao akiwemo Gervinho na mchezaji wa bei mbaya kuliko wote Africa Wilfred Bony...

Mashabiki wa Guinea wakichangilia bao...
Gervinho alifanya kituko cha kumchapa mtu kitasa (kofi) na kulalamika sana alipopewa kadi nyekundu dakika ya 58...Ivory Coast walijaribu na hatimaye kupata bao dakika ya 72 kupitia kwa Seydou Doumbia...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment