Saturday 24 January 2015

AFCON 2015: GHANA YACHOMOKA MWISHONI


Captain wa timu ya taifa ya Ghana Asamoah Gyan ameipa uhai nchi yake baada ya kufunga goli pekee mwishoni kabisa dhidi ya Algeria...Gyan alikosa mechi ya kwanza kutokana na kuugua Malaria lakini sasa yuko fit kuisaidia timu yake ya the Black Stars...Mechi haikuwa kali sana na timu zote 2 hazikunyesha juhudi kwenye lango la mwenzake na ilionekana wangetoka draw kabla ya Gyan kuchomoka na kupachika bao dakika za nyongeza...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment