Thursday 8 January 2015

COPA DEL RAY: REAL MADRID CHALI


Real Madrid awameambulia kichapo katika mechi dhidi ya Atletico Madrid 2-0 katika mechi ya 1 ya 16 bora ya Copa Del Ray...Watu 46,800 walikuja kuangalia mchezaji wa zamani alieanzia safari yake ya kimpira hapo Atletico Fernando Torres...Torres mchezaji wa zamani wa Liverpool na Chelea alianza na kutolewa dakika ya 56...Mabao yalitoka kwa Raul Garcia kuitia penalty dakika ya 58 baada ya kufanyiwa ndivyo sivyo na dakika ya dakika ya 76 Jose Gimenez de Vargas kwa njia ya kichwa...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment