Alex Song midfielder wa West Ham ameamua kustaafu kuchezea nchi yake baada ya kuachwa kwenye squad ya AFCON mwaka huu...Alex sasa atakuwa yuko tayari kuichezea West Haam kikamilifu...Song mwenye umri wa miaka 27 na ambae yuko Barcelona kwa mkopo ataarudi West Ham sasa kuinua kipaji chake...Bofya hapa upte habari zaidi.
Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the globe 🌎!
Wednesday, 7 January 2015
CAMEROORN: ALEX SONG ASTAFU SOKA
Alex Song midfielder wa West Ham ameamua kustaafu kuchezea nchi yake baada ya kuachwa kwenye squad ya AFCON mwaka huu...Alex sasa atakuwa yuko tayari kuichezea West Haam kikamilifu...Song mwenye umri wa miaka 27 na ambae yuko Barcelona kwa mkopo ataarudi West Ham sasa kuinua kipaji chake...Bofya hapa upte habari zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment