Wednesday 7 January 2015

AFCON 2015: KALABA KUIONGOZA ZAMBIA


Kocha wa Zambia Honour Janza amempatia uongozi wa squad ya wachezaji 23 Rainford Kalaba...Kalaba ambae anaongea taratibu anachezea timu ya TP Mazembe kama midfielder...Kalaba nachukua uskani kutoka Stopilla Sunzu ambae aliongoza timu katika mechi za kufuzu...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment