Saturday, 31 January 2015
Friday, 30 January 2015
Thursday, 29 January 2015
AFCON 2015: AFCON FIXTURES (GMT)
SAT 31 JAN 2015 - AFRICA CUP OF NATIONS
- CongovCongo DR16:00
- TunisiavEquatorial Guinea19:30
- GhanavGroup D Second Place16:00
- Group D WinnervAlgeria19:30
- Quarter-Final 1 WinnervQuarter-Final 4 Winner19:00
- Quarter-Final 2 WinnervQuarter-Final 3 Winner19:00
- 3rd Place Play Off 1v3rd Place Play Off 218:00
- Finalist 1vFinalist 219:00
AFCON 2015: IVORY COAST YAICHAPA CAMEROON YASONGA MBELE
Goli pekee kutokakwa Max Gradel lilitosha kuwavusha Ivory Coast...Cameroon hawajafanya vizuri na wamekosa sana mabao na kumaliza chini kabisa ya Group D kwa mara ya kwanza...Kosa la beki wa Cameroon Jerome Guihoata ndilo lilisababisha Max Gradel akamate mpiya kama yadi 25 na kupachika bao upande wa kushoto...
Timu zote hazikucheza vizuri kipindi cha 1 na pia foul zilikuwa 61 ambazo ni rekodi kwa Afcon...Bofya hapa upate habari zaidi.
Wednesday, 28 January 2015
FIFA: LUIS FIGO AJITOSA MBIO ZA URAIS
Star wa Portugal Luis Figo ambae amewahi kuchezea timu za Sporting Lisbon, Barcelona, Real Madrid na Inter Milan kama forward ameshangaza dunia kwa kutaka kuwania urais wa shirikisho la mpira duniani Fifa...Figo yuko na David Ginola, Prince wa Jordan Ali, Michael van Praag na Jerome Champagne wote wakitaka kumtoa Sepp Blatter...Bofya hapa upate habari zaidi.
LEAGUE CUP: CHELSEA YAPONEA CHUPUCHUPU YAINGIA FAINALI
Chelsea FC amefanikiwa kuingia fainali ya league cup baada ya goli dakika za nyongeza kutoka kwa Branislav Ivanovic....Liverpool walikuja kucheza mpira na walijithidi sana kusukuma mpira pande zote na Chelsea wakionekana wanapata tabu kiaina lakini Liverpool wamechapwa fimbo kwa kupoteza chance nyingi na sasa Chelsea ndio gumzo la mjini...
Katika game 6 kati ya hizo timu 2 Chelsea wameshinda zote...Wakati goli linaingia Jose Mourinho alikuwa busy anabishana na mwamuzi wa 4 Phil Dowd na hakuliona goli lakini alishangilia sana kipenga cha mwisho kilipopigwa...Bofya hapa upate habari zaidi.
Tuesday, 27 January 2015
AUSTRALIAN OPEN: NADAL ATOLEWA NA BERDYCH
FA CUP: DRAW YA ROUND YA 5 IMETOKA
FA Cup fifth-round draw | |
---|---|
Crystal Palace v Liverpool or Bolton Wanderers
|
Arsenal v Middlesbrough
|
Aston Villa v Leicester City
|
West Brom v West Ham
|
Bradford City v Sunderland or Fulham
|
Blackburn Rovers v Stoke City
|
Derby County v Reading
|
Preston NE or Sheffield Utd v Cambridge Utd or Manchester Utd
|
Monday, 26 January 2015
AUSTRALIAN OPEN 2015: DJOKOVIC NDANI YA ROBO FAINALI
Bingwa wa dunia Novak Djokovic ameingia robo fainali baada ya kumtoa Gilles Muller...Djokovic amesinda 6-4 7-5 7-5 na nanaingia robo fainali bila kupoteza set hata moja...Wengine walioshinda ni pamoja na madada Serena na Venus...Serena alimtoa Garbine Muguruza wa Spain 2-6 6-3 6-2 na Venus amemtoa numba 6 duniani Agnieszka Radwanska...Bofya hapa upate habari zaidi.
FA CUP: MABINGWA WATETEZI ARSENAL WASONGA MBELE
Arsenal FC jana iliweza kuifunga Brighton and Hove Albion FC mabao 3-2 kwenye game ya kuingia round ya 5 ya michuano ya FA Cup...Arsenal kama kawaida walicheza vizuri sana hasa kipindi chote cha 1 ndani ya uwanja wa Amex...Theo Walcott alipachika bao mapema sekunde 89 na Mesut Ozil aliwapeleka Arsenal mbele kwa bao la karibu dakika ya 24...
Tomas Rosicky alipachika bao safi dakika ya 59 baada ya Chris O'Grady kupunguza mabao dakika ya 50...Brighton walichachamaa kipindi cha 2 na kusumbua lango la Arsenal lakini Arsenal walitumia uzoefu na kuidhibiti Brighton...Bofya hapa upate habari zaidi.
TFF: RAIS JAMAL MALINZI ATEMBELEA KAITABA
Rais wa TFF Jamal Emil Malinzi ametembelea uwanja wa Kaitaba uliopo Bukoba kukagua maendeleo ya uboreshaji wa uwanja huo...Malinzi aliongozana na wadau tofauti wakati wa ukaguzi huo wakiwemo wajumbe wa chama cha mpira wa miguu Mkoa wa Kagera (KRFA) na pia Malinzi ni Mwenyekiti wa KRFA...
Maelezo kutoka kwa Meneja wa mradi Doron Mommsen ni kwamba mradi wa kuweka nyasi kwenye uwanja huo unaendelea vizuri na sasa uwanja wa unasawazishwa...Bofya hapa uate habari zaidi.
Sunday, 25 January 2015
FA CUP: MOURINHO AONA NOMA KUFUNGWA NA BRADFORD
Timu zilizofungwa ni pamoja na Manchester City ambao walipigwa 2-0 na Middlesbrough, Souhampton walichapwa na Crystal Palace 3-2...Bofya hapa upate habari zaidi.
Saturday, 24 January 2015
AFCON 2015: GHANA YACHOMOKA MWISHONI
Friday, 23 January 2015
NBA 2015 ALL-STAR: LIST IMETOKA
AFCON 2015: MSIMAMO WA GROUP A
Group A
Position | Team | Played | GoalDifference | Points |
---|---|---|---|---|
Moving up1 | Congo | 2 | 1 | 4 |
Moving down2 | Gabon | 2 | 1 | 3 |
Moving down3 | Equatorial Guinea | 2 | 0 | 2 |
No movement4 | Burkina Faso | 2 | -2 | 1 |
Thursday, 22 January 2015
AFCON 2015: CONGO YASHINDA MECHI YA KWANZA TOKA 1974
AUSTRALIAN OPEN: SERENA NDANI ROUND YA 3
LA LIGA: REAL MADRID YAPATA KIFAA HATARI
Real Madrid wameafikiana na timu ya Norway ya Strormsgodset kunyakua dogo mwenye umri wa miaka 16 Martin Odegaard...Dogo huyu hatari sana na ambae anatumia mguu wa kushoto alianza kuichezea timu yake ya taifa ya Norway akiwa na miaka 15 na timu nyingi Ulaya zilikuwa zinamtaka...Real Madrid wamesema leo ndio watamtoa kwenye vyombo vya habari...Bofya hapa pate habari zaidi.
Wednesday, 21 January 2015
EPL: SAIDO BERAHINO HAUZWI
Mwenyekiti wa club ya West Bromwich Albion, Jeremy Peace, amesema England U-21 Saido Berahino hayuko sokoni...Mkuu huyo amesema huyo stiker atabakia hapo na toka mwaka jana alisisitiza dogo hayuko sokoni...Berahino anatafutwa sana vilabu vingi vya premiership lakini hicho kifaa kinawasaidia sana West Brom na wakimwachia club itayumba...Bofya hapa upate habari zaidi.
AFCON 2015: GUINEA YAITOA JASHO IVORY COAST
Wachezaji wa Guinea wakishangilia bao... |
Mashabiki wa Guinea wakichangilia bao... |
Gervinho alifanya kituko cha kumchapa mtu kitasa (kofi) na kulalamika sana alipopewa kadi nyekundu dakika ya 58...Ivory Coast walijaribu na hatimaye kupata bao dakika ya 72 kupitia kwa Seydou Doumbia...Bofya hapa upate habari zaidi.
Tuesday, 20 January 2015
Subscribe to:
Posts (Atom)