Thursday, 30 April 2015

PROFESSIONAL FOOTBALLERS' ASSOCIATION: EDEN HAZARD AFURAHIA KUWA MCHEZAJI BORA


Eden Hazard amefurahi sana kushinda tuzo ya PFA ya mchezaji bora 2014-2015 ambapo mwaka jana alishinda mchezaji bora kijana wa mwaka...Harry Kane alikuwa mshindi wa 2 na David de Gea mshindi wa 3...Tuzo hiyo ya PFA inahusisha wachezaji wenyewe kuchagua wachezaji bora kwahiyo Hazard amefurahi kupata tuzo hiyo yenye heshima ya aina yake...Hary Kane alishinda tuzo hiyo ya PFA upande wa mchezaji bora kijana...Bofya hapa upate habari zaidi.

Wednesday, 29 April 2015

EPL: MSIMAMO WA LIGI MPAKA SASA

PositionTeamPlayedGoalDifferencePoints
No movement1Chelsea333977
No movement2Man City343467
No movement3Arsenal333167
No movement4Man Utd342565
No movement5Liverpool341058
No movement6Tottenham34658
No movement7Southampton342157
No movement8Swansea34-350
No movement9Stoke34-347
No movement10Everton34144
No movement11West Ham34044
No movement12Crystal Palace34-542
No movement13West Brom34-1437
No movement14Newcastle34-2135
Moving up15Hull34-1334
Moving down16Aston Villa34-2232
No movement17Leicester33-1631
No movement18Sunderland33-2330
No movement19QPR34-2127
No movement20Burnley34-2626

LA LIGA: BARCA YAIRARUA GETAFE 6-0


Barcelona wamefanya kufuru nyingine ilipoirarua Getafe 6-0 bila huruma...Lionel Messi, Luis Suarez na Neymar Jr wamefikia jumla ya mabao ya msimu huu 102 na sasa Real Madrid wanakazi ya ziada kuifikia Barca...Barca wameshinda mechi 14 mfululizo na draw 1 na pia wako Champions League nusu fainali na fainali ya Copa del Rey...Bofya hapa upate habari zaidi.

BOXING: MAYWEATHER AMTANIA PAC-MAN


Floyd Mayweather amemrushia dongo Manny Pacquiao kuwa Pac-Man anatakiwa kuwa anapata pesa nyingi kuliko anavyolipwa sasa...


Mayweather na Pac-Man wanatarajiwa kuzichapa May 3 pambano ambalo ninasubiriwa sana na wadau wa boxing duniani ma lenye gharama sana...Inasemekana pound milioni 150 zitatolewa na watagawana asilimia 60-40 Mayweather atapata nyingi zaidi kuliko Pac-Man...Bofya hapa upate habari zaidi.

Tuesday, 28 April 2015

YANGA: JAMAL MALINZI AIPONGEZA YANGA


Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania Jamal Malinzi ametuma salaam za pongezi kwa Mwenyekiti wa timu ya Dar es Salaam Young Africans kwa kutwaa ubingwa msimu huu...


Yanga wana chukua ubingwa kwa mara ya 25 na sasa Malinzi kawaambia waanze kujianda na michuano ya kimataifa mapema....Bofya hapa upate habari zaidi.

Monday, 27 April 2015

NBA: CLIPPERS YALIPIZA KISASI KWA SPURS


Spurs imejikuta inapelekwa shule bila kujitambua na LA Clipper na hii ni baada ya Spurs kuwachapa sana Clippers game ya 3 ya round ya 1 ya Playoffs...Kocha wa Clippers Doc Rivers baada ya game ya 3 hakuipeleka timu yake mazoezi lakini aliwapeleka kwenye holi ili watafakari makosa yao na kila mmoja alipewa vipande vyake na kuwaonyesha sinema ya mechi iliyopita...Baada ya hapo game 4 ilikuwa tofauti sana na somo likaeleweka hatimae kuwapeleka shule Spurs ambao walijua game watashinda tu...Bofya hapa upate habari zaidi.

BOXING: KLITSCHKO ATETEA MATAJI YAKE YA HEAVYWEIGHT


Wladmir Klitschko ametetea tena mataji yake ya uzito wa juu kwa mara ya 18 baada ya kumchapa mmarekani Bryant Jennings points nyingi kutoka kwa majaji wote ndani ya Madison Square Garden jijini New York...


Klitschko anayetokea Ukrain anashikilia mikanda minne ambayo ni IBF, WBA, IBO na WBO...


Bingwa Klitshko amekiri Jennings ni mpinzani mgumu kuchapa na anauwezo mkubwa lakini Klitschko alijaribu kuchukua points mapema na kumsoma mpinzani wake...Bofya hapa upate habari zaidi.

Saturday, 25 April 2015

CHAMPIONS LEAGUE: PEP GUARDIOLA KUKUTANA NA BARCA


Pep Guardiola na timu yake ya Bayern Munich watakutana na timu yake ya zamani Barcelona katika 4 bora waliobaki...Carlo Ancelotti na timu yake ya Real Madrid watacheza na Juventus...Mechi hizo zitafanyika May 5 na May 6 na mzunguko wa 2 utafanyika wiki moja baada ya hapo...Bofya hapa upate habari zaidi.

EPL: RYAN GIGGS KUMRITHI LOUIS VAN GAAL


Ryan Giggs anategemea kumrithi Louis Van Gaal endapo Van Gaal ataondoka Old Trafford...Van Gaal aliwaambia MUTV kwamba anategemea kocha msaidizi Giggs kumrithi akiondoka....Van Gaal mkataba wake unaisha 2017 amesema pia Manchester United wametoa ofa ya pesa nyingi ili kipa David De Gea abaki Man U kwani kuna timu nyingi zinamtaka ikiwepo Real Madrid...Bofya hapa upate habari zaidi.

EPL: MSIMAMO WA LIGI MPAKA SASA

PositionTeamPlayedGoalDifferencePoints
No movement1Chelsea323976
No movement2Arsenal323166
No movement3Man Utd332865
No movement4Man City333364
No movement5Liverpool321157
No movement6Tottenham33657
No movement7Southampton332156
No movement8Swansea33-447
No movement9Stoke33-346
No movement10West Ham33043
No movement11Crystal Palace33-342
No movement12Everton33-241
No movement13West Brom33-1436
No movement14Newcastle33-2035
No movement15Aston Villa33-2132
No movement16Sunderland32-2329
No movement17Hull32-1628
No movement18Leicester32-1728
No movement19QPR33-2126
No movement20Burnley33-2526