Friday 1 May 2015

PANAMA: MCHEZAJI WA ZAMANI WA COLOMBIA FREDDY RINCON ATAFUTWA NA INTERPOL


Freddy Rincon mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Colombia anatafutwa na polisi wa Panama kuhusiana na usafishaji pesa chafu na mambo ya madawa ya kulevya...


Rincon wa 3 kutoka kulia waliosimama
Rincon ameichezea timu ya taifa ya Colombia toka 1990-2001 na kati ya mechi 84 alizocheza alipata mabao 17...Rincon ndie aliyefunga bao dhidi ya Ujerumani huko Milan tarehe 19 June kwenye World Cup ya 1990 ...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment