Dnipro itakutana na wakali kwenye fainali za Europa 2015...Dnipro iliichapa Napoli bao 1 na kuongoza aggregate ya 2-1...Timu ya Rafael Benitez Napoli walishinda game 10 mfululizo mpaka walivyosimamishwa na Dnipro na sasa Dnipro itaingia fainali na Sevilla ambao waliichapa Fiorentina mabao 2-0 na aggragate ya 5-0 huko Italy...Fainali itachezewa Warsaw May 27...Usikose fainali kali sana....Bofya hapa upae habari zaidi.
Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the 🌎.
Friday, 15 May 2015
EUROPA CUP 2015: SEVILLA NA DNIRPO NDAI YA FAINALI
Dnipro itakutana na wakali kwenye fainali za Europa 2015...Dnipro iliichapa Napoli bao 1 na kuongoza aggregate ya 2-1...Timu ya Rafael Benitez Napoli walishinda game 10 mfululizo mpaka walivyosimamishwa na Dnipro na sasa Dnipro itaingia fainali na Sevilla ambao waliichapa Fiorentina mabao 2-0 na aggragate ya 5-0 huko Italy...Fainali itachezewa Warsaw May 27...Usikose fainali kali sana....Bofya hapa upae habari zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment