Monday 11 May 2015

MADRID MASTERS 2015: ANDY MURRAY AMEMGARAGAZA RAFA NA KUNYAKUA UBINGWA MADRID


Andy Murray amchapa Rafael Nadal kwa mara ya kwanza kwenye court ya mfinyanzi...Rafa alichapwa 6-3 6-2 mbele ya umati mkubwa ambao haukutegemea Rafa kufungwa nyumbani kwenye mfinyanzi...Murray amenyakua kwa mara ya kwanza Masters yake kwenye court ya mfinyanzi na sasa anataka kukutana na Rafa kwenye michuano ya Roland Garros...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment