Friday 15 May 2015

F1: MAFUTA KUONGEZWA KATIKATI YA MASHINDANO MSIMU WA 2017


Mabosi wa formula one akiwemo Rais wa FIA Jean Todt na Bernie Ecclestone pamoja na maboss wa timu za Ferrari, McLaren, Mercedes, Red Bull, Williams na Force India wamekubali kuchangamsha mashindano kwa kurudisha tena uongezaji mafuta wakati wa mashindano na pia wamekubali magari yawe na kelele zaidi ili yaweze kwenda mbio zaidi...




Kutokana na mashindano hayo kupoteza mvuto kidogo kwasababu ya mabadikiko mengi sasa kutakuwa na ushindani mkubwa wa akili na wa mashine...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment