Sunday 10 May 2015

MANCHESTER UNITED: THIERRY HENRY ASEMA DE GEA ALISTAHILI TUZO YA MWANASOKA BORA WA MWAKA


Super star wa zamani wa Arsenal Thierry Henry amesema David De Gea ndio mchezaji bora kijana wa mwaka...


Alisema hayo kwenye kipindi cha mpira cha Saturday Night Live.

Henry alisema De Gea ameisaidia sana timu ya Manchester United msimu huu kwa kuokoa mikwaju mingi sana na kama mnakumbuka game ya Man U dhidi ya Crystal Palace ambapo Man walishinda 2-1 De Gea aliokoa sana pamoja na kuokoa mikwaaju hatari ya Glen Murry...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment