Friday 8 May 2015

MANCHESTER UNITED: MDACHI FORWARD MEMPHIS DEPAY KUTUA OLD TRAFFORD


Manchester United wanamchukua forward wa PSV Eindhoven Memphis Depay...Depay atatia timu Old Trafford akimaliza uchunguzi wa daktari na dirisha la usajili likifunguliwa mwezi wa sita...Man U wamemchukua kwa bei kati ya pounds milioni 25 na 30 na atakaa mpaka 2019...Depay mwenye umri wa miaka 21 amewafungia PSV mabao 21 msimu huu na PSV walinyakua kombe la ligi ya wadachi...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment