Tuesday 12 May 2015

DIEGO MARADONA: JOSE KIFAA KULIKO PEP


Diego Maradona mchezaji maarufu sana wa zamani wa Argentina amesema Jose Mourinho ni kocha bora sana kuliko Pep Guardiola...


Amesema Guardiola bado hajamfikia Mourinho kwa sababu kwanza anarekodi kali, pili anajua unachotaka kusema kabla haujasema kitu.

Maradona alisema hayo alipohojiwa kwenye kipindi cha 'Revista de La Liga' na swali lingine alilorushiwa ni nani ni kifaa kati ya Cristiano Ronaldo na Lionel Messi lakini hakujibu swali bali alitoa uzuri wa wote na kusema Ronaldo ni myama hatari akiwa karibu na goli na makipa wengi wanamuogopa na wote Messi na Ronaldo wako sawa...Bofya hapa usome zaidi.

No comments:

Post a Comment