Monday 18 May 2015

LA LIGA: BARCELONA MABINGWA


Lionel Messi aipa ubingwa FC Barcelona baada ya kufunga bao pekee kwenye mechi dhidi ya Atletico Madrid jana usiku...Messi alipiga bao lake la 41 la msimu dakika ya 65 na kuipa Barcelona ushindi wa 23 wa kombe la La Liga...Barca wako pointi 4 mbele ya Real Madrid na bado wana mechi moja ya kiporo...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment