Saturday 9 May 2015

NBA: DERRICK ROSE AZAMISHA BASKET SEKUNDE YA MWISHO


Derrick Rose aipa ushindi Chicago Bulls kwenye game ya 3 ya nusu fainali ya michuano ya playoffs...Rose alizamisha basket sekunde ya mwisho kabla ya kengele na kuipa timu yake ushindi wa 99-96 katika game kali sana dhidi ya Cleveland Cavaliers ndani ya uwanja wa Bulls...Game ilikuwa na tension wakati Noah na LeBron walitaka kuzichapa baada ya kurushiana maneno...Sasa Bulls inaongoza series za Eastern Conference 2-1...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment