Wednesday 6 May 2015

ARSENAL: TAJIRI ALIKO DANGOTE ANATAKA KUNUNUA ARSENAL


Billionaire anayetoka Nigeria Aliko Dangote amesema anataka kuinunua timu ya Uingereza ya Arsenal...Dangote alisema hayo alipoongea na Bloomberg kampuni inayotoa taarifa za masoko na uwekezaji...Alisema kama bei itakuwa safi atanunua timu hiyo ya north London...Dangote alijaribu kununua Arsenal mwaka 2010 lakini akabadilisha mawazo na sasa anasema bei ikiwa safi atanunua...Bloomberg Billionaire Index inasema Dangote anautajiri wa bilioni 15.7 na ni tajiri kuliko wote Afrika na tajiri kuliko watu wote wenye asilia ya Afrika...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment