Thursday 14 May 2015

RIADHA: TIMU YA MAREKANI YAVULIWA MEDANI ZA 2012


Timu ya riadha ya Marekani ya 2012 ya London Olympics imevuliwa medani zake kutokana na mmoja wao kupatikana na hatia ya kutumua dawa za kuongeza nguvu...Tyson Gay alikutwa na hatia ya kutumia madawa ya kuongeza nguvu na alirudisha medani yake lakini Kamati ya Olympic ya Kimataifa imesema wote kwenye timu hiyo lazima warudishe medani zao...Kwenye timu hiyo alikuwemo Trell Kimmons, Justin Gatlin, Ryan Bailey, Jeffrey Demps na Darvis Patton...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment