Sunday 3 May 2015

BOXING: FLOYD MAYWEATHER ASHINDA PAMBANO LA BEI MBAYA


Floyd "Money" Mayweather ameweka historia tena kwenye pambano la kuunganisha mikanda dhidi ya Manny "Pac-Man" Pacqiao ndani ya MGM Grand...


Pambano hili ambalo lilikuwa lenye gharama kubwa kuliko mapambano yote lilishuhudiwa na watu wengi sana duniani na lilikuwa linasubiriwa kwa hamu sana na wadau wa boxing duniani....


Mayweather ameshinda pambano na majaji wote walimpa points zakutosha ingawa Manny nae alizichapa sana na kumpa Mayweather shida karibu round zote...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment