Carl Froch amepoteza mkada wa super-middleweight kutokana na kushindwa kutetea mkanda huo...Boxer Froch ambae anatokea Uingereza pia aliachia mkanda wa IBF...Froch alishindwa kuzichaa na Julio Chavez Jr mwezi wa 3 kutokana na mattatizo ya mkono...Promota wa Froch, Eddy Hearn, amesema boxer anadhani boxer huyo hato zichapa tena...Bofya hapa upate habari zaidi.
Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the globe 🌎!
Saturday, 9 May 2015
BOXING: WBA WACHUKUA MKANDA WAO KUTOKA KWA FROCH
Carl Froch amepoteza mkada wa super-middleweight kutokana na kushindwa kutetea mkanda huo...Boxer Froch ambae anatokea Uingereza pia aliachia mkanda wa IBF...Froch alishindwa kuzichaa na Julio Chavez Jr mwezi wa 3 kutokana na mattatizo ya mkono...Promota wa Froch, Eddy Hearn, amesema boxer anadhani boxer huyo hato zichapa tena...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment