Tuesday 5 May 2015

WORLD SNOOKER CHAMPIONSHIP: BINGHAM AMFUNGA MURPHY NA KUCHUKUA KOMBE


Stuart Bingham amemchapa 18-15 Shaun Murphy kwenye fainali kali sana ya mashindano ya dunia ya snooker...Kuna wakati waliuwa 15-15 akawa anafikiria kutoa hotuba ya mshindi wa 2 lakini dakika ya 64 mambo yakabadilika na kuwa frame 16-15...Bingham mwenye umri wa miaka 38 amekuwa mshindi na bingwa katika umri mkubwa toka Ray Reardon ashinde mwaka 1978 akiwa na umri wa miaka 48...


Bingham amezawadiwa pound laki 3 na atakuw wa 2 duniani kutok namba 10...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment