Monday 11 May 2015

TFF: TANZANIA ITAKUWA MWENYEJI WA KAGAME CUP


Shirikisho la Soka Tanzania TFF  limekubali kuwa mwenyeji wa michuano ya kombe la Kagame mwaka huu...CECAFA Kagame Cup itafanyika Tanzania na TFF sasa watatoa mwaliko kwa timu zote ambazo zinastahili kucheza...Baada ya kupata uhakika nani atacheza ndipo TFF wataandaa list ya watakao cheza na ratiba rasmi na kuitoa kwenye vyombo vya habari na kwa wadau...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment