Thursday 14 May 2015

TFF: SQUAD YA COSAFA CUP YATAJWA


Squad ya watu 20 tayari kwa COSAFA Cup huko South Africa iko tayari...Michuano hiyo ya COSAFA inategemewa kuanza May 17 mpaka May 31...Timu hiyo ya Tanzania itaongoza na afisa wa TFF bwana Ephaphra Swai na wanatarajiwa uwanjani Jumatatu kuchuana na Swaziland alafu siku 2 badae kucheza na Madagascar...Wachezaji kama wa 5 wameachwa kutokana na kutofikia vigezo muhimu hasa afya na mambo mengine...Mmoja aliyeachwa ni Nadir Haroub...Squad ya Tanzania ni kama ilivyo hapo chini;

Deogratius Munishi (Yanga) and Mwadini Ali (Azam). Defenders: Shomari Kapombe, Aggrey Morris, Erasto Nyoni (Azam), Oscar Joshua, Kelvin Yondani (Yanga), Abdi Banda (Simba), Salim Mbonde (Mtibwa Sugar) and Haji Mwinyi (KMKM). Midfielders: Salum Abubakar, Frank Domayo (Azam), Said Juma, Salum Telela, Hassan Dilunga (Yanga), Said Ndemla (Simba) and Mwinyi Kazimoto (Al Markhira). Strikers: Ibrahim Ajib (Simba), Mrisho Ngassa, Simon Msuva (Yanga), John Bocco (Azam) and Juma Luizio (Zesco United).

Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment