Saturday 2 May 2015

BELGIUM FOOTBALL ASSOCIATION: GREGORY MERTENS AANGUKA UWANJANI NA KUFARIKI SIKU CHACHE BAADAE


Ex-U 21 wa Belgium Gregory Mertens amefariki dunia...Mertens alianguka uwanjani Jumatatu kutokana na tizo la moyo na baadae kukimbizwa hospitali kwa matibabu zaidi...Hali iliendelea kuwa tete na toka aingie hospitali alikuwa anatumia mashine ya kupumua mpaka familia yake ilipomua kuizima hiyo mashine jana...


Mchezaji wa zamani wa Bolton Fabrice Muamba ambae nae aliwahi kupata matatizo ya moyo katikati ya game dhidi ya Tottenham amesikitika sana kwa tweet yake hapo chini...


Romelu Lukaku Belgium na Everton forward amesikitika na kusema Mertens ameondoka mapema na apumzike kwa amani...Shirikisho la soka la Belgium limesema mechi zote za Ijumaa zitaanza na dakika moja ya kuomboleza kifo cha Mertens...Mertens alikuwa na miaka 24 mauti yalipomfikia...Max Sports na wadau tunamuombea apumzike kwa amani...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment