Wednesday 1 July 2015

WOMEN'S WORLD CUP: USA NDANI YA FAINALI


USA wamefanikiwa kuingia fainali ya Kombe la Dunia la Wanawake baada ya kuizamisha Ujerumani 2-0...Baada ya Ujerumani kukosa bao la tuta USA hawakufanya kosa dakika 10 badae kupitia Carli Lloyd dakika ya 69...


Substitute Kelli O'Hara aliwapa USA bao la ushindi dakika ya 84 naada ya kupachika bao zuri la vollley...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment