Saturday 4 July 2015

WIMBLEDON: SERENA ATOLEWA JASHO NA HEATHER WATSON


Namba 1 Uingereza Heather Watson jana alionyesha umwamba wake baada ya kumpelekesha bingwa wa tennis Serena Williams...Serena aliponea chupuchupu baada ya kukimbizwa set ya 3 na Watson mpaka akapata hasira kibao lakini alivyo tulia alifanikiwa kumfunga Watson...Serena alishinda kwa seti 2 kati ya seti 3 6-2 4-6 7-5...Bofya hapa upate habari zaidi.



No comments:

Post a Comment