Sunday 5 July 2015

COPA AMERICA: CHILE MABINGWA


Chile wamemtoa Argentina kwenye matuta na kuchukua kombe kubwa Marekani Kusini la Copa America...Chile wamechukua kombe kwa mara ya kwanza na wamechukua kwenye ardhi yao ya asili...Mchezaji hatari sana wa Arsenal Alexis Sanchez ndiye alifunga bao la ushindi tutani...Forward wa Napoli Higuain alikosa bao la wazi alipopata cross ya chini ya Lavezzi...


Chile ilikuwa kati ya timu 4 ambazo zilicheza Copa America ya kwanza kabisa mwaka 1916...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment