Saturday 4 July 2015

F1: HAMILTON ACHUKUA POLE POSITION SILVERSTONE


Lewis Hamilton amechukua nafasi ya kwanza kabla ya mashindano ya Silerstone kuanza hapo kesho...Hamilton alipata shida kwenye majaribio ya awali lakini aliibuka kidedea na kuchukua nafasi ya kwanza ambayo ataanza nayo kesho...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment