Friday 3 July 2015

WIMBLEDON: ROGER FEDERER ASINGA MBELE


Roger Federer alionyesha umwamba wake wa tennis kwenye game ambayo alimchapa Sam Querrey seti zote 3...Federer alishinda 6-4 6-2 6-2 na kuingia 32 bora katika michuano mikali sana ya tennis duniani ya Wimbledon huko Uingereza...Federer ambae ni namba 2 duniani anafukuzia taji la 8 ambalo ni la kistoria...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment