Wednesday 1 July 2015

COPA AMERICA: ARGENTINA YAIGARAGAZA VIBAYA PARAGUAY


Argentina wameonyesha umwamba katita soka la Marekani ya Kusini baada ya kuirarua Paraguay mabao 6-1...Aargentina wameingia fainali toka mwaka 2007 na pia hawajawahi kushinda Copa America toka mwaka 1993 sasa watakutana na wenyeji Chile ndani ya Santiago July 4...


Wafungaji walikuwa Rojo, Pastore, Di Maria mabao 2, Aguero na Higuain...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment