Thursday 2 July 2015

SIMBA S.C.: KOCHA IDDI SALIM AFURAHI KUINGIA MSIMBAZI


Simba Sports Club chini ya kocha mpya Dylan Kerr wamemnyakua kocha wa makipa makini kutoka Kenya Iddi Salim...Salim alikuwa kocha wa makipa wa Gormahia na AFC Leopards zote ni timu kali sana nchini Kenya...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment