Monday 6 July 2015

NIGERIA: KESHI AFUKUZWA


Stephen Keshi amefukuzwa kazi na Shirikisho la Soka la Nigeria (NFF)...Keshi amepatikana na hatia ya kuomba kazi ya kuendesha timu ya Ivory Coast wakati bado yuko kibaruani...Kutokana na vipengele kwenye mkataba wa Keshi NFF wameamua kumtimua...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment