Sunday 2 February 2014

VPL: SIMBA YAITAFUNA JKT



Simba Sports Club jana iliirarua JKT Oljoro mabao 4 kwa 0 katika mechi iliyochezewa uwanja wa Taifa jana...Man of the match alikuwa Amis Tambwe ambaye alipata 'hat-trick'...Mabeki wa JKT walikuwa wamejichanganya...Sasa Simba wamemsogelea Azam F.C na pia hawako mbali na mabingwa Yanga...Bofya upate mambo zaidi...

No comments:

Post a Comment