Sunday 9 February 2014

CAF CHAMPIONS LEAGUE: YANGA YAANZA VIZURI


Dar es Salaam Young Africans (Yanga) jana ilianza vizuri mashindano ya CAF Champions League kwa kungaragaza Komorizine kutoka Comoro maba 7 kwa mtungi...Wafungaji walikuwa winga maafuru Mrisho Ngassa ambaye alipata hat-trick (mabao matatu), Didier Kavumbagu alipachika mawili, Ugandan International Hamisi Kiiza na beki Nadir Haroub Ally wote walipata bao moja moja...

No comments:

Post a Comment