Wednesday 5 February 2014

DUBAI DESERT CLASSIC: STEPHEN GALLECHER ABAKIA NA USHINDI



Stephen Gallacher alianza vibaya mashimo 9 ya mwanzo (front 9) lakini alijitahidi na kushinda tena mashindano hayo makubwa ya Dubai Desert Classic...Emiliano Grillo alikuwa wa pili...Stephen alikuwa anapambana na wakali duniani kama Rory McIlroy na namba 1 duniani Tiger Woods...Rory alikuwa anaongoza wakati Stephen alishindwa kuzamisha kipira kwenye mashimo manne kwa kupata bogey mashimo yote hayo...Alijitahidi kwenye mashimo 9 ya mwisho (back 9) na kumpita Rory...Tiger Woods alimaliza wa 41...Pata habari zaidi hapa

No comments:

Post a Comment