Thursday 6 February 2014

MLS: BECKHAM AMEANZISHA TIMU MPYA MIAMI



David Beckham ambaye alikuwa mchezaji maarufu sana duniani na England Captain ameanzisha timu mpya ya mpira huko Miami Marekani...Timu itakuwa inacheza kwenye ligi ya MLS (Major League Soccer)...Commissioner wa soka marekani amesema ni mara ya kwanza mchezaji kuanzisha timu yake...Beckham amekataa kutaja wachezaji wa timu yake lakini amesema watu wengi wanataka kuja kujiunga na timu yake...Pata habari zaidi hapa...

No comments:

Post a Comment